Bunge la Ulaya limepitisha azimio la kuitaka Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU) kusitisha mpango wa ufadhili kwa Tanzania baada ya ghasia za uchaguzi kusababisha mauaji ya raia na uharibifu wa mali ...
Bunge la Ulaya leo Novemba 27, 2025 litajadili azimio linalohusiana na matukio ya Oktoba 29, 2025 siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi nchini Tanzania, haki za binadamu, ikiwemo kesi ya kiongozi wa ...
Bunge la nchi hiyo limempata Spika wake mpya atakayeongoza muhimili huo kwa kipindi cha miaka mitano, baada ya zoezi la uchaguzi lililofanyika hii leo bungeni jijini Dodoma. Kwenye uchaguzi huo wa ...
Salum Mwalimu wa chama cha CHAUMMA, kijana mwenye umri wa miaka 46, pia mzaliwa wa Zanzibar. Mgombea huyo amesema chama chake kitapigania kwa nguvu zote kurejesha hadhi ya bunge la Jamhuri ya Muungano ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alimteua Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Mhe Dkt Mwigulu Lameck Nchemba Madelu kuwa Waziri Mkuu mteule wa Jamhuri ya Muungano wa ...