Hii ni tovuti ya idhaa ya Kiswahili ya BBC ambayo hukuletea habari na makala kutoka Afrika na kote duniani kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti hii pia kusikiliza vipindi vya redio.
Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong amesema Australia ina simama kidete juu ya tamaduni nyingi, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kukosoa uhamiaji katika hotuba yake kwa kikao cha mkutano wa Umoja ...
Mtandao wa siri unaofadhiliwa na Urusi unajaribu kuvuruga uchaguzi ujao wa kidemokrasia katika eneo la Ulaya mashariki, BBC imegundua. Kwa kutumia ripota wa siri, tuligundua mtandao huo uliahidi ...
Bunge wa chama cha Nationals Barnaby Joyce amewasilisha muswada binafsi wakuondoa Australia kutoka lengo la jumla la uzalishaji sufuri wa hewa chafu. Hatua hiyo ina ashiria kuongezeka kwa kikundi cha ...
Siku ya kiswahili duniani, ambayo imekuwa ikiadhimishwa tangu mwaka 2022. Maadhimisho ya mwaka huu imefanyika jijini Kigali nchini Rwanda, ambako mamia ya wataalam na wapenzi wa Kiswahili wamekutana ...