Ingawa michuano hii kwa wanawake ilianza hivi majuzi - kwa mara ya kwanza ilifanyika mwaka wa 1991 nchini China - michuano ya kombe la dunia la soka kwa wanawake imekuwa matukio ya kimataifa. Na ...
BBC imefichua orodha yake ya wanawake 100 wenye hamasa na ushawishi kutoka kote ulimwenguni kwa mwaka wa 2021. Mwaka huu Wanawake 100 inaangazia wale wanaogonga 'kuweka upya' - wanawake wanaotekeleza ...
Ripoti mpya iliyotolewa na Taasisi ya Utafiti African Barometer, imebaini bado kuna ombwe la ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi, kwenye nchi za Afrika, hali inayokwamisha lengo namba 5 la ...
Dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya demokrasia na huko nchini Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na wanawake kama sehemu ya maadhimisho hayo. Rais Samia anatumia jukwaa la wanawake ...
Nchini Kenya, wanawake hasa wenye umri mkubwa pwani ya Kenya, bado wanabaguliwa linapokuja suala la haki ya kumiliki ardhi, licha ya katiba nchini humo kuwaruhusu kufanya hivyo. Kwa kawaida wanawake ...
Msikilizaji katika eneo la Ukanda wa Maziwa Makuu, takribani wafanyabiashara wadogo wanawake elfu 20 wanaendesha biashara zao kwenye maeneo ya mpakani, wengi kutoka nchi za Rwanda, Burundi na DRC, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results