"Katika mahojiano ya kazi, nilitakiwa kuwasilisha idhini ya maandishi kutoka kwa mume wangu ili kuthibitisha kuwa nina idhini yake kufanya kazi," anasema Neda, ambaye ana shahada ya uzamili ya ...