Christophe Mboso, mshirika wa rais Félix Tshisekedi, ameteuliwa kuwa Spika wa Bunge. Alikuwa mkuu wa ofisi ya muda ya Bunge. Nafasi ya makamu wa kwanza wa rais imechukuliwa na Jean-Marc Kabund.