Lee Hee Tae alikuwa na matumaini makubwa kwa tamasha lake la ngono, ambalo aliliita kwa fahari kama "La kwanza na kubwa zaidi" nchini Korea Kusini. Alitarajia mashabiki 5,000 wangemiminika kuona ...
Mamlaka ya Urusi yana fuatilia kwa karibu tafrija za ngono zinazoandaliwa na watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja baada ya Mahakama ya Juu kuamua mnamo Novemba kuidhinisha vuguvugu la mapenzi ya ...
Chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania TAMWA kimesema kukosekana kwa sera madhubuti kuhusu masuala ya ngono katika mazingira ya kazi kumechangia kuongezeka kwa visa vya rushwa ya ngono katika ...
Mwanamuziki maarufu wa mitindo ya Coupé-Décalé nchini Cote d'Ivoire, Houon Ange Didier, anayejulikana kwa jina la DJ Arafat, amefariki dunia Jumatatu Agosti 12 kutokana na ajali ya barabarani ...