Fundi mmoja nchini Kenya ameamua kushona suti za mitindo ya kipekee ambazo zimewavutia wengi. Abich Cancious ameamua kuwa nguo anazoshona hasa suruali zinavaliwa kifuani na sio kiunoni. Paula Odek ...
Nchini Kenya chama cha wanasheria kimetangaza namna mpya ya mavazi yanayopaswa kuvaliwa na wanasheria nchini humo. Wanasheria wote wa kike wamekatazwa kuvaa nguo zinazowabana na zinazoonesha miili yao ...