Mo Dewji, bilionea Mtanzania aliyetekwa na watu wasiojulikana Alhamisi wiki iliyopita, amerejea nyumbani salama. Katika ujumbe ulioandikwa kwenye ukurasa wa Twitter wa kampuni yake, amesema: ...