Mwanaume aliyeingia katika dunia ya kufanya ngono huku akiwa amelewa (chemsex), ameeleza jinsi alivyogeuka kuwa "zombi" na maisha yake yalikuwa yakiharibika polepole. Chris - jina lake limebadilishwa ...