Wizara ya Afya nchini Tanzania leo imezindua mpango mpya wa kudhibiti UKIMWI, Magonjwa ya ngono na homa ya ini kwa pamoja, huku tafiti zikionyesha ongezeko la magonjwa ya ngono nchini humo. Akizindua ...
Kitabu kipya kinaelezea historia ya ulimwengu wa kale kupitia wanawake. Mwandishi Daisy Dunn anachunguza walichosema kuhusu jinsia yao wenyewe - mbele ya dhana potofu za wanaume. Kulingana na ...
Kile ambacho ulimwengu wote umeona kama kashfa ya video za ngono inaweza kuwa sehemu ya hiki kilichoshuhudiwa hivi karibuni katika maisha halisi kuhusu nani atakuwa rais ajaye wa Equatorial Guinea.
(Dar es Salaam) – Watanzania walio katika hatari kubwa zaidi ya kuambukizwa VVU hukumbana na dhulumanyingi za polisi na mara nyingi hawawezi kupata usaidizi wanapokuwa waathiriwa wa uhalifu, shirika ...
Afrika Kusini huenda ikawa nchi ya kwanza Afrika kuhalalisha biashara ya ngono, hatua ambayo wale wanaoiunga mkono wanasema itasaidia kuyalinda makundi yaliyotengwa dhidi ya ghasia na kukabiliwa na ...