Sumu inayotolewa na buibui wa Brazil imekuwa msukumo wa utafiti unaotafuta njia mpya za kutibu saratani. Kazi hiyo, iliyofanywa karibu miaka 20 iliyopita na wanasayansi kutoka Hospitali ya Israelta ...
Umoja wa Mataifa hapo jana bila ya kuulamumu upande wowote katika vita vya Syria ulisema umekusanya ushahidi wa kutosha na wa kuaminika unaoonyesha kuwa sumu ya sarin ilitumika katika shambulio la ...
Madai ya hivi karibuni nchini Tanzania kuhusu jaribio la kumuwekea sumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu, yamezua mijadala mikali na kuibua maswali kuhusu hatima ya viongozi wa upinzani duniani na ...
Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa UN imebaini wapiganaji wa Upinzani nchini Syria ndiyo wanatumia silaha za kemikali kwenye vita vyao dhidi ya Serikali ya Rais Bashar Al Assad kulingana na ...
Ujerumani imesema Shirika la Kimataifa la Kuzuia Matumizi ya Silaha za Kemikali, OPCW limethibitisha kwamba sampuli zilizochukuliwa kwa kiongozi wa upinzani wa Urusi, Alexei Navalny zinaonesha kuwa ...
Wanaharakati wa mazingira nchini Kenya, wameshinda kesi ya wakazi wa mtaa duni wa Owino Uhuru mjini Mombasa, walioathiriwa na sumu kutoka katika kiwanda cha kutengeza madini aina ya Lead. Miongoni mwa ...
Serikali imebuni kamati maalum itakayochunguza madai ya kuwapo kwa sumu kupita kiasi ya aflatoxins kwenye bidhaa hasa za mahindi nchini. Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri na Mwenzake wa Biashara Peter ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results