Kodi, ushuru na tozo ni msingi muhimu wa makusanyo ya mapato ya Serikali yoyote duniani. Ni vyanzo vya asili, vinavyokubalika na kuwekewa misingi ya kisera, kisheria, kikanuni na matamko. Soma zaidi ...
HAYAWI hayawi yamekuwa. Baada ya kungoja kwa miaka, miezi, wiki na sasa ile siku imewadia na utepe wa mashindano ya kusaka ubingwa wa Afrika utakatwa huko Morocco usiku wa leo Jumapili.