Juma hili katika makala ya Sanaa tunazungumza na Kulwa Kikumba maarufu kwa jina la "Dude" ambaye ni msanii maarufu wa filamu za Tanzania au Bongo Movie, tega sikio upate kufahamu mambo mbalimbali ...
Watoto wang'ara katika tuzo za filamu za Sinema Zetu International (SZIFF 2019). Kwa picha hivi ndivyo mambo yalivyokua. Maelezo ya picha, Tuzo za mwaka huu zimezua gumzo katika mitandao ya kijamii ...
Wasanii nchini Tanzania hivi karibuni waliandamana kupinga uuzwaji wa filamu kutoka nje, wakidai zinaharibu soko la ndani. Wakati huo huo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiahidi kushughulikia suala ...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz ni mmoja wa wasanii walioshiriki kampeini ya kupanda mlima Kilimanjaro mwaka huu lakini hakufanikiwa kufika kileleni. Licha ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results