Dar es Salaam. Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imeamuru kuachiwa huru kwa Mkurugenzi wa FX Bureau De Change, Faruk Osman Sidik aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya ...
Mgombea Urais wa Chama cha Wananchi (CUF),Gombo Sambandito Gombo akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Oktoba 14,2025 Mkoa wa Mbeya.Picha na Hawa Mathias Mbeya. Mgombea urais wa Tanzania ...
Mratibu wa mradi wa kudhibiti uchafuzi wa Mazingira na Afya (EHPMP), kutoka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dk Betrina Igulu. Dodoma. Wachimbaji wadogo wa madini nchini wametakiwa ...
Kigoma. Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kigoma (RCC) imeridhia kugawanya majimbo manne ya uchaguzi mkoani Kigoma ambayo ni Kigoma Mjini, Kasulu Vijijini, Uvinza na Kibondo. Maazimio hayo yalipitishwa na ...
Peter Elias ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi mwenye shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (BA.PSPA) aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom). Amepata pia mafunzo ya uandishi wa ...
Dar es Salaam. Mei Mosi ya mwaka huu imeacha kicheko kwa maelfu ya watumishi wa umma baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1 kuanzia Julai ...
Dar es Salaam. Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Elizabeth Edward amesema taasisi za mikopo kwenye jamii zina faida na hasara zake. Amesema wakati benki zikisubiri wakopaji lakini watu wamekuwa ...
Kamanda Maigwa amesema helikopta hiyo ilikua na watu watano ambao ni Costantine Mazonde raia wa Zimbabwe ambaye alikuwa rubani, Jimy Daniel aliyekuwa daktari na Inocent Mbaga ambaye ni muongoza ...
Magonjwa ya kuku ni maradhi yanayoathiri afya ya kuku na kusumbua wafugaji wengi hasa wale wadogo. Kuku, kama walivyo viumbehai wengine, hupatwa na magonjwa mbalimbali. Kwa kuwa kuku ni mifugo ya ...
Dar es Salaam. Utandawazi na ongezeko la maarifa katika teknolojia ya vifaa ya mawasiliano umechangia kwa namna moja au nyingine kusambaa picha na video za ngono. Picha na video hizo sasa zinapatikana ...
Mbeya. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya memhukumu kutumikia kifungo cha miaka mitatu nasiku 14 jela, Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya kikosi ...
Dodoma. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imelifungia jukwaa la mtandaoni JamiiForums kwa miezi mitatu, huku mmiliki wa mtandao huo Maxence Melo akijiuzulu ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results