Polisi inamshikilia Stephano Maswala, ambaye ni mmiliki wa kituo hicho, anayedaiwa kuwabaka watoto watano wanaolelewa kituoni ...
The Lions have a fantastic foundation with Aidan Hutchinson, but Marcus Davenport is likely gone and Za'Darius Smith is a possible cap casualty. Even if Smith returns, he's going to be 33 this ...
Mshambulizi wa Uingereza Harry Kane, 31, amekataa kuzungumza kuhusu ripoti kwamba anaweza kuhamia Arsenal mwaka ujao, kwa sababu ya kipengele cha kutolewa katika kandarasi yake ya Bayern Munich ...
Rais wa Marekani Donald Trump ameweka ushuru wa asilimia 25 kwa bidhaa zote za chuma na alumini zinazoagizwa kutoka nje, ushuru huo utaanza kutumika tarehe 12 Machi. Hii itaathiri wasambazaji ...
Kuna madai wilayani Msowero, kwamba, hali ya utekelezaji usioridhisha wa Sheria ya Maji ya Mwaka 2019, umesababisha Kata ya Msowero kutoingizwa kwenye Bajeti za Maji katika miaka ya fedha, 2023/24 na ...
Dar es Salaam. Serikali imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kuiba mita za maji inayomkabili mfanyabiashara Daud George (28). George,mkazi wa Kinondoni anakabiliwa na mashtaka matatu, ...
Pongezi hizo amezitoa akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa shughuli za wakala huo mkoani Kilimanjaro ambapo kamati hiyo imetembelea mradi wa maji wa Kikafu-Kwasadala-Bomang'ombe, pamoja na ...
LOfosi hiyo ya misaada inasema huko Deir-ez-Zor, vituo vya maji kumi vimeathiriwa na mapigano ya hivi karibuni, huku uharibifu mkubwa ukiripotiwa katika vifaa vya mitambo na umeme. Hata hivyo, ...
Wananchi wametakiwa kuendelea kulipa kodi kwa hiari ili kuiwezesha serikali kutekeleza miradi ya maendeleo katika sekta za maji, afya, elimu na huduma nyingine za jamii. Wito huo umetolewa leo Ijumaa ...
na zaidi ya watu 635,000 katika kambi za wakimbizi wa ndani kaskazini-magharibi wanakabiliwa na kusimamishwa kwa huduma za maji na usafi wa mazingira," Pia amesema kusitishwa kwa shughuli ...
Upo mradi mwingine ambao unapeleka umeme kwenye pampu za maji takribani 411 na kwenye maeneo ya kilimo na maeneo ya migodi 605.” Akijibu swali Mbunge wa Viti Maalum, Kabula Shitobela aliyeuliza ni ...
Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Maji na Mazingira imesema ni wakati muafaka NEMC kuwa mamlaka hasa ikizingatiwa kuwa nchi imekabiliwa na changamoto nyingi za kimazingira. Akisoma taarifa ya kamati kwa ...