MWANAFUNZI wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Kampasi ya Mazimbu Mkoani Morogoro, Yosia Keya (25), amekutwa amekufa baada ya mwili wake kukutwa umenyongwa kwa kutumia ...
MWALIMU wa Shule ya Sekondari Katoro (jina linahifadhiwa) miaka36 anadaiwa kumbaka mwanafunzi wa kidato cha tatu alipomtuma nyumbani kwake kisha kumfuata na kumfanyia ukatili huo. Tukio hilo ...