UCHUNGUZI kuhusu matukio ya watu kutoweka umebaini mauaji mapya: Katika kufuatilia mauaji yanayodaiwa kufanywa na mganga wa kienyeji na wenzake, Jeshi la Polisi limebaini miili mingine 10 ikiwa ...